Betri ya Hatari: Inakaa na chaji hadi masaa 50 ya kusikiliza muziki mfululizo!
DSEE Technology: Inaboresha ubora wa sauti na kutoa Bass safi sana.
Microphone In-Built: Zina mic nzuri kwa ajili ya kupiga simu au mikutano ya mtandaoni (Zoom/Teams).
Bluetooth Multipoint: Inajiunga na vifaa viwili kwa wakati mmoja (mfano Simu na Laptop).
Nyepesi na Laini: Padi zake ni laini sana masikioni na haziumizi hata ukivaa siku nzima.
Condition: Mpya kabisa kwenye box (Brand New Sealed).