Active Noise Cancellation (ANC): Inazima kelele zote za mazingira ya nje ili ukusikilize muziki wako kwa utulivu mkubwa.
HavyBassTM Technology: Inatoa sauti nzito, yenye nguvu na yenye uwiano mzuri wa bass.
Bluetooth 5.3 + EDR: Muunganisho wa haraka, thabiti na usio na kukata kata ukiwa mbali na simu yako.
Stable Long Playtime: Betri inayodumu kwa muda mrefu sana kwa matumizi ya siku nzima.
Hearing Protection Tech: Teknolojia inayolinda masikio yako dhidi ya sauti kubwa kupita kiasi.
Dual Drivers Connection: Inaruhusu kuunganishwa na vifaa viwili kwa wakati mmoja.
Garanti ya Mwaka Mzima (365 Days Warranty): Uhakika wa ubora kutoka Oraimo.