On-Ear Lightweight Design: Muundo mwepesi na wa starehe usiotokeza presha au maumivu masikioni hata ukivaa kwa muda mrefu.
Betri Yenye Nguvu (80-Hour Long Playtime): Inakaa na chaji hadi saa 80 za kusikiliza muziki mfululizo.
Super Fast Charging: Chaji kwa dakika 10 tu na ufurahie matumizi ya saa 8 kamili (10 Mins Charge = 8 Hours Playtime).
Dual Device Connection: Uwezo wa kuunganisha kwenye vifaa viwili kwa wakati mmoja (mfano simu na laptop).
HavyBassTM Technology: Teknolojia ya sauti nzito inayokupa muundo wa muziki wa kiwango cha juu.
Garanti ya Mwaka Mzima (365 Days Warranty): Uhakika wa ubora kutoka Oraimo.