Power On Display: Kioo cha LED kinachoonyesha asilimia ya chaji iliyobaki kwenye kisanduku (case) na kwenye kila earbud.
Muda Mrefu wa Betri (Up to 38-Hour Playtime): Tumia hadi saa 38 kwa chaji ya kisanduku chake.
Fast Charging: Chaji kwa dakika 10 tu na upate matumizi ya saa 1 na dakika 30 (90 Mins).
HavyBassTM Technology: Sauti nzito ya bass inayokupa burudani ya hali ya juu wakati wa kusikiliza muziki.
ENC Clear Voice in Calls: Mfumo wa ENC unaopunguza kelele za nje wakati wa kuongea na simu ili msikilizaji akusike vizuri.
Customizable Listening: Unaweza kubadilisha mipangilio ya sauti kupitia app ya Oraimo kulingana na unavyopenda.
Garanti ya Mwaka Mzima (365 Days Warranty): Uhakika wa ubora na udhamini kutoka Oraimo.