i11 Tws (True wireless stereo) ni bluetooth earphones ambazo unaweza kuunganisha na simu yako ukaitumia kusikilizia music au kuongelea, ni touch control, bass uhakika, hazichagui sim, ni mpya kabisa unaanza kutumua wewe fullbox yaani unapata usb na power bank yake kwa Tsh45,000 call/sms067*********) unachaji lisaa 1-2 na kutumia masaa 3-4 na power bank yake inauwezo wakuchaji mara3 kwa uwezo huo unaweza kutumia i11 siku nzima, (free derivery in dar es salaam) mikoani natuma pia ni uhakika kabisa #karibu