Mini wireless bluetooth earphone.⠀
hii ni foni ya masikioni isiyokuwa na nyaya.⠀
⠀
-inatoa sauti nzuri na haiumizi masikio.⠀
-ni ndogo na haichoshi.⠀
-inakaa na chaji masaa 2 - 3.
-ina support simu zote za android na iphone pamoja na simu za batani zenye bluetooth kuanzia 4.0⠀pamoja na vifaa vyote vinavyo support bluetooth.
⠀
zinapatikana sasa kwa sh.12,500 tu. Weka oda yako sasa na tutakuleta popote pale ulipo.⠀
⠀
➡kwa wakazi wa dar es salam usafiri buree (free delivery), bidhaa unaletewa mpaka nyumbani na utalipia baada ya kufikishiwa bidhaa yako. ⠀
⠀
➡kwa wakazi wa mikoani, tunakutumia bidhaa yako kwa basi kwa gharama ya usafiri ya tsh.4,000 (elfu nne) tu....Utaipata bidhaa yako ndani ya masaa 24 tu na kwa uaminifu mkubwa.
⠀
weka oda yako sasa ➡⠀