Pure Bass & Clear Sound: Sauti safi inayochuja kelele zote za nje (Noise Reduction).Battery Inadumu: Chaji inakaa masaa ya kutosha, na box lake linachaji pods zako mara kadhaa.Inafaa Kila Simu: Inajiunga haraka sana (Smart Bluetooth) kwenye Android na iPhone (iOS).Muundo wa Kijanja: Haidondoki masikioni na ina muonekano wa kisasa kabisa unaoendana na muonekano wako.Inakuja na Lanyard (Kamba): Rahisi kubeba mkononi bila hofu ya kupoteza