Chepe imara ya chuma kwa kazi mbalimbali za ujenzi, kilimo, kuchimba udongo, mchanga, kokoto na usafi wa mazingira. Ina mpini imara wenye kishikio cha plastiki kwa matumizi rahisi na yenye nguvu. Ni imara, hudumu kwa muda mrefu na inafaa kwa matumizi ya nyumbani, mashambani na kwenye maeneo ya ujenzi. Inapatikana kwa rangi ya Blue na Red. Tunauza kwa bei nzuri kwa rejareja na jumla.