Contains Vitamins, Ammonia-Free, Alcohol Free, All Natural Ingredients, Alcohol-Free
Features
Growth Oil
Hair Treatments and Oils Subtype
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Victoria place makumbusho
call me to make appointment
Closed
• Mon - Sun, 07:00-23:59
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
call me to make appointment
Closed
• Mon - Sat, 09:00-18:00
Bado kukatika nywele / kipara ni changamoto kwako?
nywele zinakatika kwa rate kubwa sio kawaida yaani ukipitisha chanio kichwani lazima libaki na nywele yako,
mrembo unavaa mawigi kwa sababu unapenda au kwasababu nywele zimeisha unaficha tatizo?
gentleman unanyoa kipara kwasababu unapenda au kwasababu unakiwaraza hivo unaona umalize ijulikane moja?
nywele za binadamu pamoja na kazi zake zote pia ni pambo/mapambo/urembo kwa binadamu ikiwa ni pamoja na kucha na kadharika.
kwa changamoto ya vipara na kukatika nywele kuzidi karibu uhudumiwe,
sh 150000/=tsh