Lipe jiko lako muonekano wa kisasa na wa kuvutia!
Lina sehemu maalumu ya kuweka jiko la gesi pamoja na kabati la kuhifadhia vyombo.
Material :Imara na yenye ubora kwa matumizi ya muda mrefu.
Quality: Imara, rahisi kusafisha na kutunza.
Design: Muonekano wa kisasa unaopendezesha eneo la jikoni.
Matumizi: Kupikia, kupanga vyombo na kuhifadhi vifaa muhimu vya jikoni kwa mpangilio mzuri.
Perfect for modern kitchens – huokoa nafasi na kufanya jiko lako lionekane nadhifu na organized! Lipo tayar ,
Free derivery lipo tayar