Hii ni hanger ya kisasa yenye rangi nyeusi na muundo wa kuvutia, inayofaa kwa kupanga nguo kwa mpangilio mzuri. Ina ngazi mbili za kutundikia nguo, pamoja na rafu za chini kwa ajili ya kuhifadhi viatu na maboksi. Pia ina magurudumu yanayorahisisha kuisogeza kirahisi. Ni imara, inaokoa nafasi na inafaa kwa matumizi ya nyumbani au madukani.