Boresha nyumba yako na meza hii ya kisasa ya kulia chakula yenye muonekano maridadi wa marumaru (marble). Ina sehemu ya juu yenye kioo/marumaru nyeupe na miguu imara ya chuma cheusi yenye pambo la rangi ya dhahabu. Inafaa sana kwa ajili ya chakula cha familia, jikoni, au hata ofisini kwa mikutano. Ni rahisi kusafisha, imara, na inaleta muonekano wa kifahari.