'L-shaped table ina nafasi kubwa ya kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja, kuweka kompyuta yako, nyaraka, na vitu vingine vya muhimu kwa urahisi. Ina muonekano wa kisasa na wa kuvutia, ikiwa na sehemu ya juu yenye rangi ya mbao na fremu imara ya chuma nyeupe. Kabati dogo lililounganishwa kando linatoa nafasi ya kutosha ya kuhifadhi faili na vifaa vya ofisi, kukusaidia kupanga nafasi yako ya kazi vizuri. Meza hii ni bora kwa ofisi yoyote ya kitaalamu au ya nyumbani.