Executive Office Desk Model X04 (160cm) Modern Executive Design: Muundo wa kisasa wenye rangi za kuvutia (Dark wood & Beige finish) unaoleta taswira ya utaalamu ofisini. Smart Storage: Inakuja na side cabinet yenye droo mbili (lockable drawers) na nafasi za wazi za kuwekea files na vitabu, hivyo kukusaidia kuwa na ofisi safi na iliyopangika. Durable & Sturdy: Imetengenezwa kwa material imara inayodumu muda mrefu (High-quality finish). Perfect Size: Ukubwa wa 160cm unaipa meza hii nafasi ya kutosha ya kufanyia kazi kwa raha bila kubanwa.