Executive/Boss Office Chair (Kiti Cha Mkurugenzi Au Bosi).
1/5
Dar es Salaam, Ilala, 16 hours ago
3 views
Executive/Boss Office Chair (Kiti Cha Mkurugenzi Au Bosi).
+1
Other
Brand
Chairs
Type
Home Office / Study
Room
Used
Condition
Black
Color
Office Chairs
Chair Type
Store address
Dar es Salaam • Ilala
Livingstone street 25, Opposite Arafat Restaurant, Kariakoo
Makutano ya Udoe Street na Livingstone Street, Town: Kariakoo, City: Dar es Salam, Country: Tanzania
Open now
• Mon - Sun, 09:00-22:00
Hiki ni kiti cha ofisini cha Mkurugenzi/Bosi (Executive/Boss Office Chair).
Maelezo kwa Ufupi:
-
.
• Kimeundwa kwa ngozi (PU Leather/Ngozi) yenye rangi nyeusi, iliyojaa sponji nene kwa ajili ya faraja.
.
• Kina egemeo refu la mgongo (High-Back Support) lililogawanywa katika sehemu tatu ili kusaidia kupunguza maumivu ya mgongo wakati wa kukaa kwa muda mrefu.
.
• Kina miguu yenye magurudumu matano inayomwezesha mtumiaji kuzunguka kwa nyuzi 360 na kusogea kwa urahisi.
.
• Chini kina mfumo wa haidroliki unaomwezesha mtumiaji kushusha au kupandisha kiti (Gas lift) kulingana na urefu wa meza.