Fanya kila unapopita uache kumbukumbu nzuri kwa Opio Noir Red Dose. Harufu yake tamu na ya kifahari hukupa kujiamini na mvuto wa kipekee. Inafaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, kwenye dinner au sherehe. Chagua ubora, chagua Opio Noir Red Dose – harufu inayovutia tangu tone la kwanza!"