Emeer by Lattafa ni perfume ya hadhi ya juu yenye harufu ya kifahari, safi na inayodumu kwa muda mrefu. Ukiivaa utapata harufu yenye mvuto na kujiamini siku nzima. Ni chaguo bora kwa wanaopenda manukato ya class na ubora wa Dubai.
Free Delivery Available!
Wasiliana nasi uagize leo, delivery ni bure.