9 PM Night Out by Afnan ni perfume ya kisasa yenye harufu ya kifahari na inayodumu kwa muda mrefu. Ni chaguo bora kwa matembezi ya usiku, sherehe na miadi maalum. Ukipuliza mara chache tu, harufu yake itakufanya ujitokeze na kuacha kumbukumbu popote unapopita.