"maryam perfum " ni unyunyu bomba kabisa kwa wakina dada , ambao hukaa kwa nguo muda mrefu 24hrs . Harufu nyake sio strong(kali ) ,
imeundwa kwa ; parfum(fragrance) , aqua , ethyle hexy methoxycinnamate .
Inatengenezwa na kampuni ya lulu gallery trading , iliyopo u.A.E (united arab emmirates) , sharjah
original kabisa
Gender: Women's