"bushra perfum" ni yenye harufu nzuri sana , inayokaa kwenye nguo muda mrefu(long lasting) 24HRS .
Inatumika na watu wa jinsia zote .
Imeundwa(viungio) ; aqua, limonene, butylphenyl Methylpropional ,linalool , citral ,perfum .
Inatengenezwa na kampuni ya "al Naseem perfumes " ipo U.A.E (united arab emmirate ) .
Original kabisa
Gender: Unisex