Power tiller 10hp diesel – mashine imara ya kulimia
tunauza power tiller ya diesel 10hp, mashine yenye nguvu inayofaa kwa shughuli za kilimo na maandalizi ya mashamba.
sifa za mashine:
- engine: 10hp diesel
- gia: 2 mbele na 1 nyuma
- matumizi: kulima, kutifua na kuandaa udongo
- rahisi kuendesha na kuitunza
- inafaa kwa wakulima wadogo na wa kati
- inakuja na blades zake kwenye picha
faida:
ina nguvu kwa shughuli za kilimo
inasaidia kupunguza muda na gharama za kulima
rahisi kuendesha
inafaa kwa maandalizi ya mashamba
tunapatikana ilala, dar es salaam067XXXXXXX