tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Food, Agriculture & Farming
  3. Farm Machinery & Equipment
  4. Ina Farm Machinery & Equipment
Dar es Salaam, Ilala, 01/06
14 views

Mashine Yakukatia Majani

+1
Other
Type
Brand New
Condition
Yes
Warranty
Hutumia betri mbili (mara nyingi 18V + 18V = 36V au zaidi) Hutoa nguvu ya kutosha kukata majani marefu na hata vichaka vidogo Hakuna haja ya mafuta au waya (cordless)Haina kelele nyingi ukilinganisha na mashine za petroli Haina moshi, hivyo ni rafiki kwa mazingira Kuwasha ni rahisi (bonyeza kitufe tu)Ina kasi ya juu ya kuzunguka (RPM kubwa) Inaweza kuwa na viwango tofauti vya kasi (speed settings) Blade au nylon line hubadilika kulingana na kaziNi nyepesi kuliko mashine za mafuta Rahisi kubeba na kutumia kwa muda mrefu bila kuchoka sana Mara nyingi ina mkanda wa bega (shoulder strap)
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif