kubota rt 140 di original from japan
power tiller namba 1 kwa wakulima wenye akili!
model: kubota rt 140 di - 14hp
original from japan - sio china, imara zaidi
dizeli - inakunywa mafuta kidogo sana
inalima ekari 5-8 kwa siku moja
inafaa kwa mpunga, mahindi, miwa, mboga
matairi makubwa - haikwami kwenye matope
spare parts zinapatikana na tunakufundisha kutumia
condition: mpya kabisa - ipo tayari kazini godown kwetu!
ipo dar - tunatuma mikoani kote: mbeya, morogoro, iringa, moshi, mwanza
bei ya ofa ya msimu!
piga / whatsapp sasa stock ni chache:
/
amiri tools and machinery - tunasimamia ubora!