Incubator ya kisasa kabisa ya mayai 128 iliyoboreshwa zaidi.
trey zake unavuta kama droo hivyo ni rahisi kuweka na kutoa mayai.
sensa za joto na unyevu ni sahihi zaidi
totolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa na kanga.
inatumia umeme au sola/betri ya 12v
ina ufanisi mkubwa wa zaidi ya 98%
ni full automatic na inageuza mayai yenyewe.
inafaa kunganisha waya wa umeme na wa betri kwa pamoja. umeme wa tanesco ukikatika inapokea wa betri automatically.
utapata ofa ya vifaa vya kukuzia vifaranga bure pamoja na egg tester.