Karibuni sana katika akaunti yetu ambayo inayousika na uuzaji wa mbwa qa German shepherd ningependa kuwatarifunhawa mbwa wamebakia watano pia mbwa hawa ni wakubwa na niwazuri pia njoo uwahi furaha ya moyo wako na ulinzi wa kujivunia kwa nyumba yako .Asanteni Namba za wasiliano