Njia Mbili za Kutundikia (Double Pole): Inakupa nafasi kubwa zaidi ya kutundika nguo nyingi kwa wakati mmoja.
Raki Mbili za Chini (2 Storage Shelves): Zinalinda na kupanga viatu, mabox au nguo zilizokunjwa vizuri.
Mishikio ya Pembeni (Side Hooks): Inafaa kwa kutundikia mikoba, kofia, au mikanda kwa urahisi.
Magurudumu (Wheels): Inahamishika kwa urahisi mahali popote ndani ya chumba.
Chuma Imara: Imeng'arishwa na chuma cha ubora kisichoshika kutu na kinachobeba uzito bila kupinda.
Ufungaji Mwepesi: Ni rahisi kuiunganisha (Easy to Assemble).