Kasi ya Hatari: Teknolojia ya DDR5 yenye kasi ya PC5-4800B inafanya laptop yako kufanya kazi kwa haraka bila kuganda (lagging).
Uwezo Mkubwa: 16GB RAM inakupa nafasi ya kutosha kufungua programu nzito bila shida.
Ubora wa Samsung: Chapa halisi inayodumu na yenye ufanisi wa hali ya juu.
Inafaa kwa: Laptop za kisasa zinazotumia kumbukumbu ya DDR5 (Gaming & Workstation laptops