Uwezo wa Kudumu (Capacity): Ina nguvu ya 38Wh inayokupa muda mzuri wa kufanya kazi zako bila kukatizwa na tatizo la chaji.
Viwango Vya Usalama: Imetengenezwa kwa kuzingatia viwango vya usalama vya kuzuia joto kali au kuchomeka vibaya (Fire and Heat Protection Standards).
Uwezo Sahihi (Voltage): Inatumia 11.1V ambayo inafaa kabisa na mifumo ya laptop husika.
Ubora Wa Juu: Ni betri ya Lithium-ion mpya kabisa yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi chaji kwa muda mrefu.