Vinyl Cutting Plotter 720 Series Softwares Installation Only ( Uwekaji Programs Pekee, Siuzi Plotter )
* Kwa wenye na Vinyl Cutting Plotter 720 Series naweka Programs zake kwenye Computer yako, kwa ajili ya kukatia Majina & Numbers, etc.
* Utafanyiwa Windows Installation kama Windows yako ina virus ama nzito ama haieleweki
* Utawekewa pamoja na Kaspersky Antvirus ya mwaka mmoja
* Utawekewa Program ya CorelDraw Graphics Suite X7 ama version ya juu ( Kwa ajili ya ku operate Plotter )
* Utawekewa Team Fonts Bundle ( Staili za Miandiko ya timu mbali mbali )
* KARIBUNI