tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Computer & IT Services
  4. Whatsapp Services
Dar es Salaam, Ilala, 01/09
10 views

Kadi Za Kidigitali

+1
LittleWed
Company Name
​Ongeza thamani na rahisisha maandalizi ya sherehe yako kwa kutumia mfumo wetu wa kadi za kidigitali. ​Unachopata Katika Huduma Hii: ✅ Kadi za Kidigitali zenye QR Code: Zinatumwa kwa haraka kupitia WhatsApp na SMS zenye code maalum za waalikwa. ✅ Ujumbe wa Ukumbusho: Mfumo unawatumia waalikwa ukumbusho wa michango kiurahisi. ✅ Usimamizi wa Check-in Ukumbini: Tunawasaidia kuingiza wageni ukumbini kwa kuscani QR Code zao kwa kutumia mfumo wetu. ✅ Ujumbe wa Shukrani: Utumaji wa jumbe za shukrani kwa wageni wote walioshiriki baada ya sherehe.
Kadi Za Kidigitali
TSh 1,500per piece
Fixed price
Report Abuse
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and remuneration
  • Meet in person at a safe public place
frame_left.gif