Kasi Kubwa ya USB 3.0: Inahamisha data kwa kasi ya juu hadi 5Gbps (High-Speed Data Transfer).
Ina Adapter ya Umeme: Inakuja na plagi ya umeme (Power Supply Adapter) inayowezesha Hard Disk kubwa za desktop (3.5-inch) kufanya kazi bila shida.
Plug & Play: Haina haja ya ku-install driver au programu yoyote, unachomeka kwenye USB na kuanza kutumia mara moja.
Urahisi wa Kazi: Ni suluhisho bora kwa ajili ya backup ya data, kuokoa mafaili kwenye hard disk ya zamani, au kuongeza nafasi ya hifadhi kwenye laptop/PC yako.