Kasi ya Internet ya 300Mbps: Inasaidia kiwango cha 802.11b/g/n kwa ajili ya kuvinjari mtandaoni, kuangalia video, na kuendesha kazi zako bila kukwama.
Muundo Mdogo Sana (Mini Nano Size): Ni ndogo sana, ikishachomeka kwenye USB port haichukui nafasi wala kuleta kero au usumbufu wowote.
Urahisi wa Kufunga (Plug & Play): Ni rahisi kuset up na inafanya kazi kwenye kompyuta za aina mbalimbali.
Matumizi: Inafaa kwa Desktop Computers na Laptops zisizo na au zilizoharibika mfumo wa Wi-Fi.