Unganisha simu, kibao (tablet), au kompyuta yako yenye port ya USB-C moja kwa moja kwenye TV, Projector, au Monitor kwa kutumia Type-C to HDTV Cable (4K @ 30Hz) yenye kiwango cha juu cha ubora. Cable hii inakuwezesha kurusha picha na video za ubora wa juu wa 4K Ultra HD bila kuhitaji App wala converter yoyote—ni plug-and-play tu! Ni suluhisho kamili kwa ajili ya kuangalia filamu, kufanya presentations za kiofisi, au kucheza video games kwenye kioo kikubwa kwa muonekano safi usio na lag.