Kasi Kubwa ya Intaneti (Gigabit Speed): Inasawazisha na kuingiza kasi ya mtandao hadi 1000Mbps (1Gbps) kwa ajili ya kudownload, kuangalia video za HD, au kucheza game bila kukwama.
Plug & Play: Haina haja ya install programu ngumu, unachomeka na kuanza kutumia mara moja.
Muunganiko Imara: Inaondoa changamoto za Wi-Fi iliyo dhaifu au inayokatika mara kwa mara.
Inafanya Kazi na Vifaa Mbalimbali: Inafaa kwa Laptop mpya, MacBook, PC, au Notebook zenye port ya Type-C.