Muundo Imara na wa Kisasa (Sleek & Durable Design): Imetengenezwa kwa umbo jembamba (slim) lenye muonekano wa kifahari linalopendeza mezani na kudumu kwa muda mrefu.
Vifungo Laini Visivyo na Kelele (Quiet & Comfortable Keys): Vifungo vyake ni laini sana kubonyeza, vinakupa urahisi na uwezo wa kuandika (typing) kwa haraka na kwa utulivu bila kupiga kelele.
Rahisi Kutumia (Plug & Play USB Connection): Unachomeka tu kwenye kompyuta yako (Laptop au Desktop) kupitia port ya USB na inaanza kufanya kazi mara moja bila kuhitaji programu maalum.
Ina Mfumo wa Namba Mipangilio Kamili (Full-Size Layout with Numeric Keypad): Ina sehemu kamili ya namba za pembeni inayorahisisha kazi za mahesabu, uhasibu, au kuingiza data kwa haraka.
Inafaa kwa Kila Kazi: Ni chaguo sahihi kwa matumizi ya ofisini, shuleni/vyuoni, madukani,