Inarekebishwa Urefu (Adjustable Height): Unaweza kuongeza au kupunguza urefu kwenda juu kuanzia sentimita 11 hadi 18 (11-18cm). Inasaidia kuweka skrini usawa wa macho ili kuzuia maumivu ya shingo, mgongo na mabega.Uwezo Mkubwa wa Kubeba Uzito: Imetengenezwa kwa chuma imara (Premium Metal/Aluminium) na ina uwezo wa kubeba kompyuta au TV yenye uzito wa hadi kilo 15 (15kg) bila kulegea wala kutikisika.Inazuia Kuteleza (Anti-Slip Silicone): Chini kwenye base ina raba maalum za silikoni zinazoifanya ishikilie vizuri kwenye meza na kulinda meza yako isikwaruzike.Inatunza Nafasi (Space Saving): Nafasi iliyopo chini ya stendi inakupa nafasi ya ziada ya kuweka keyboard, mouse, vitabu au vifaa vingine vya ofisi ili kuweka meza yako ikiwa safi.Inafaa Vifaa Vyote (Wide Compatibility): Inafaa kwa ajili ya Kompyuta (PC) Monitor nk