Mzunguko wa 360° (360-Degree Rotation): Inazunguka kwa urahisi sana ili uweze kuonyesha skrini kwa mtu mwingine bila kuhamisha stendi.
Uwezo wa Kurekebisha Kimo na Angle (Height & Angle Adjustable): Inainuka na kuinama kulingana na urefu unaoutaka ili kukulinda dhidi ya maumivu ya shingo na mabega.
Muundo Imara na wa Kifahari: Imetengenezwa kwa chuma imara cha aluminium pamoja na msingi wa mbao wa kuvutia (Wooden Base).
Kuzuia Laptop Kupata Moto (Heat Dissipation): Ina matundu ya kupitisha upepo ili kuzuia laptop yako kuungua au kupata joto kubwa.
Mpira wa Kuzuia Kuteleza (Anti-Slip Rubber Pads): Ina pedi za mpira zinazolinda laptop isiteleze wala kukwaruzika.
Inahimili Laptop Zote: Inafaa kwa laptop za saizi zote (MacBook, HP, Dell, Lenovo, Asus, na nyinginezo).