Brand Maarufu ya HP: Ubora na udumu unaoaminika kutoka chapa ya kimataifa ya HP.
Muundo Kamili wa Vifungo (Full-Size Layout): Ina sehemu yote ya namba (Number Pad) inayowahusu sana watu wa mahesabu, maofisa wa fedha, na kazi za kila siku za ofisini.
Muunganiko wa Waya wa USB (Wired Keyboard): Chomeka na uanze kutumia papo hapo (Plug & Play), haina haja ya kuchaji wala kununua betri.
Mbonyezo Laini na Tulivu: Vifungo vimetengenezwa kutoa mbonyezo laini unaopunguza kelele unapoandika kwa muda mrefu.
Inadumu na Kustahimili Kazi Nzito: Imetengenezwa mahususi kwa matumizi ya muda mrefu ya maofisini na nyumbani.