Utambuzi wa Pesa Bandia (Counterfeit Detection): Ina sensorer 3 za kisasa (UV, MG, na IR) zinazotambua pesa bandia au zilizoharibika papo hapo ili kukulinda dhidi ya hasara.
Kasi na Usahihi wa Hali ya Juu (High Speed & Accuracy): Inahesabu hadi noti 1,000 kwa dakika moja (1000 pcs/min) bila kuweka makosa au kurudia noti.
Kioo cha Nje cha Ziada (External Digital Display): Inakuja na kioo cha ziada kwa ajili ya mteja kuona idadi ya pesa inayohesabiwa, kuongeza uwazi na uaminifu kwenye biashara.
Mfumo wa Batch & Add: Inakuwezesha kutenga pesa kwa idadi uliyoichagua (k.m. noti 100 100) pamoja na kujumlisha mahesabu ya mfululizo.
Kazi za Automatic (Start, Stop & Clearing): Inaanza na kusimama yenyewe pindi unapoweka au kutoa noti kwenye tray.
Inafaa Aina Zote za Pesa (All Currencies):
YAUMEME 220,000
YAKUCHAJI 300,000