Kichwa cha Sumaku (MagSafe 2 Magnetic Connector): Connector yake ina sumaku inayojishika yenyewe kwenye laptop na inajichomoa kwa usalama bila kuangusha laptop pindi mtu akijikwaa kwenye waya.
Uchaji wa Haraka na Salama (Fast & Safe Charging): Inatoa umeme thabiti wa 45W ulio salama kwa betri ya MacBook Air yako.
Mwangaza wa Indiketa (LED Light Indicator): Ina taa ya LED kwenye kichwa cha chaja (Rangi ya Machungwa inapochaJi, na ya Kijani ikijaa).
Muundo wa Kusafiria (Portable & Neat): Waya wake ni rahisi kukunja vizuri bila kuteseka pindi unaposafiri.
Utangamano (Compatibility): Inafaa kwa MacBook Air zote za inch 11 na inch 13 (2012 - 2017 Model).