Muonekano wa kipekee na wa kisasa kabisa! Jipatie suti ya kiume ya vipande vitatu (Joti, Koti la ndani/Vest, na Suruali) yenye ubora wa juu kutoka kwa bidhaa maarufu ya JOSELINO.
Sifa za Suti:
• Rangi: Beige / Camel (Rangi ya udongo/dhahabu iliyofifia) - rangi ya kisasa inayopendwa sana kwa sasa.