Tracksuit za New Balance zenye Kola na Zipu (Rangi Nyeusi na Manjano/Khaki)
Piga pamba ya kijanja na yenye mvuto wa michezo na kasweli! Jipatie seti ya tracksuit (Sweater na Suruali) kutoka chapa maarufu ya New Balance ikiwa na muundo wa kisasa kabisa.