T-Shirt Kali za Kiume za Mikono Mirefu (Long Sleeve Polo Shirts) - Quality Kali!
Ongeza muonekano wa kijanja na nadhifu kwenye kabati lako kwa kupata T-shirt hizi za kijanja za mikono mirefu (Long-sleeve collared T-shirts). Ni nzuri kwa mtoko wa kawaida (casual) au hata ofisini Ijumaa!
Mtindo (Style): Polo ya mikono mirefu yenye kifungo (Collared long-sleeve polo shirt).