Mrembo, pendeza kijanja ofisini, kwenye vikao au kwenye mitoko rasmi na suti hizi za kisasa za kike (3-Piece Skirt Sets). Seti inakuja na Shati nyeupe ya mikono mirefu, Vest ya kifahari (yenye mkanda na vifungo vya dhahabu) pamoja na Sketi ndefu ya heshima iliyopangwa vizuri (Pleated A-line Skirt). Muonekano huu unakupa heshima, mvuto na ujasiri wa biashara au kazi.