Suti za Kike za Lace (Gauni + Koti lenye Ua Kifuani) / Size 42-50
Muonekano wa kiofisi na sherehe unaovutia na wenye heshima ya hali ya juu! Tunauza seti nzuri sana za magauni ya kunasa mwilini (sheath dress) yasiyo na mikono yenye nakshi ya uzi (lace detail), yanayokuja na koti la mikono ya robo tatu (3/4 sleeves) lenye kola ya duara na ua la kitambaa kifuani.