Suti za Kifahari za Double Breasted (Satin Trim Luxury Suits) Zimeingia!
Unataka muonekano wa kiwango cha juu (Premium Look) kwenye tukio lako maalum? Suti hizi za kisasa zimepambwa kwa kitambaa cha satin chenye mng'ao laini kwenye kola (lapel) na vifungo, zikikupa muonekano wa kishua, nadhifu na wa kuvutia sana!