Suti ya Kiofisi ya Kike ya Vipande Vitatu (3-Piece Ladies Official Suit) - Grey
Muonekano wa kijanja, wa kiofisi na wenye mvuto wa hali ya juu sana! Jipatie suti kali ya kike ya vipande vitatu inayojumuisha Koti, Kisibau (Vest/Waistcoat), na Suruali.
• Rangi: Wine / Maroon ya kishua sana.
• Mtindo: Slim fit inayochora vizuri umbo la mwanamke na kuleta muonekano nadhifu na wa kileo.
• Matumizi: Inafaa sana kwa wafanyakazi wa maofisini, mikutano rasmi (Meetings), sherehe, Send-off, au mitoko maalum ya jioni.
• Ubora: Kitambaa kizito cha daraja la kwanza kisichochuja rangi na kinachonyooka vizuri sana.