Suti Kali za Kike za Ofisini na Sherehe (Gauni + Koti)
Tunauza seti kali kabisa za gauni (sleeveless) zilizoshonwa kwa mtindo wa kisasa zikiambatana na koti la juu (matching blazer) lenye nakshi maridadi.
Sifa za Bidhaa:
Muundo: Gauni la kunasa mwilini (sheath dress) lisilo na mikono + Koti la mikono mirefu lenye zipu na pini ya urembo (brooch).