Suti Kali ya Kiume ya Kijivu (Grey Slim Fit Men's Suit) - Quality ya Juu!
Jipatie muonekano wa kisasa na wa kuvutia kwa ajili ya harusi, sherehe, au mikutano ya kiofisi. Suti hii imeshonwa kwa nyenzo zenye ubora wa juu na inayokaa vizuri mwilini (Slim Fit).
Seti inajumuisha:
• Koti la kisasa la kijivu (vifungo viwili mbele, vifungo vinne kwenye mikono) [image_Gkqen4.png]