Suruali za Kiume za Kijanja (Flared/Wide-Leg Trousers) - Kali Sana!
Wahi suruali kali za kisasa za kiume (Trendy Wide-Leg/Flared Men's Trousers) kwa ajili ya muonekano wa kijanja na wa kuvutia!
• Mtindo (Style): Wide-leg yenye mpasuko wa chini (side slit) na mkanda wa kiuno wa kisasa (buckle waist design).